Natafuta nyumba ya vyumba viwili kwa tsh 4000000

Natafuta nyumba ya vyumba viwili kwa tsh 4000000

Mauntana

Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
81
Reaction score
14
Natafuta Nyumba maeneo ya Kinondoni, Msasani, Kariakoo, Muhimbili na Postal.

Vyumba viwili vya kulala na Jiko zuri.Ikiwa Master Poa ila isipokuwa nayo pia Haina neno. Bei yangu ni Laki nne.

MALIPO KILA MWEZI.
 
Ndugu yangu kwa Dar hii? maana miezi 6 yenyewe ni kwa kubembeleza maana wengi wanataka miezi 12 sasa huo utaratibu wa mwezi 1 haitakuwa rahisi sana kupata.
 
Da! Nilidhani nyumba ya kununua kwa 4,000,000 wakati nasoma maelezo nikajiuliza hayo maeneo kwa hiyo bei ni ndoto, kumbe ya kupanga kwa 400,000.
 
Kama upo serious, ipo moja ina rooms 5 masters, plus seating, dining etc, ipo ndani ya fence. ILA KODI NI KWA MWAKA.
 
Back
Top Bottom