Natafuta nyumba ya vyumba 4 Morogoro

Natafuta nyumba ya vyumba 4 Morogoro

Keza76

Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
46
Reaction score
16
Habari wanajamvi,

Mimi ni mkazi wa Morogoro, natafuta nyumba ya vyumba vinne maeneo ya Kihonda au Azimio au Kilimanjaro kwa ajili ya kupanga.

Mwenye nayo ani PM
 
Ulishapata Mimi ninayo karibu na shule ya msingi azimio ni mpya ila vyumba 3
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom