Natafuta nyumba nzima ya kupanga maeneo ya Ilala, Magomeni, Sinza, Kinondoni, Makumbusho, Mwenge. Iwe na hadhi na ambapo panafikika kwa gari kirahisi wakati wa masika. Mwenye habari ani PM.
4 in 1 Unfurnished Apartments along Pugu Rd available for Rent.
Located in a Prime residential area behind Aviation House, 2.4 Kms From Aviation house and 4.7Kms from Julius Nyerere Int'l Airport. 14.2Kms from the heart of the City(Clock Tower City Center)
Well accessible with, Water and Ample Parking for 4Cars.
Two Bedrooms: one Master Bedroom and a Public Toilet.