Kwani umeambiwa wewe?
Hii nyumba naitaka mimi, labda kama unata tukae wote.
Na kama ina chuma kimoja tu cha kulala itabidi tu-shee hichohicho, au vipi??
Lediz Festi nadhani....
Hahaha waswahili bwana. Sasa yeye kaanzisha uzi, wewe unadai haki kumzidi. Duuuh!
Nimekutumia msg chemba umeiona?
Shark mbona kama umepanick............Huu upendeleo sasa umezidi, mimi ni mwanaume mwenzie. Hata akinipatia hicho chumba tunaweza tukawa marafiki halafu issue zingine tukasaidiana kiume.
Nitaongea na Heaven on Earth aniachie mimi, yeye kwakua ni wa kike hata shemeji yetu anaweza kutusaidia kutafuta!!
Hahaha waswahili bwana. Sasa yeye kaanzisha uzi, wewe unadai haki kumzidi. Duuuh!
habari zenu
natafuta nyumba ya kupanga bei iwe kati ya 250,000 hadi 300,000 TZS
ikiwa chini ya hapo pia itakuwa vizuri zaidi. maeneo ya Makumbusho, Victoria
K,nyama au changanyikeni na maeneo mengine karibu na hayo.
mwenye kujua anaweza kuniambia ASANTE
Hahaha waswahili bwana. Sasa yeye kaanzisha uzi, wewe unadai haki kumzidi. Duuuh!
ajabu hii
Sio ajabu Bi mdada, by the way kama ikitokea wote tukakipenda hicho chumba si tutakaa wote tu please??
Mjini hapa kodi zinaumiza sana aisee, hata tukikaa pamoja tunaweza ku-share cost tukapunguziana maumivu ya kodi, :smile-big:
hahaaaa haya bana we ukipata huko nishtue hii ya sinza kama iko safi
tutakaa wote pia