Habari zenu wanajamvi.
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Kinondoni,Mikocheni,au Sinza. Iwe chumba kimoja self contained ama viwili bei isizidi laki moja.Iwe kwenye mazingira mazuri kwenye usalama sio uswahilini.
Natanguliza shukrani.Tuwasiliane kwa PM.