Natafuta nyumba ya kupanga

Natafuta nyumba ya kupanga

dommidee

Member
Joined
Aug 17, 2008
Posts
18
Reaction score
1
Hi,
Wana JF natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya mbezi beach, mwenge au mikocheni. Iwe na ukubwa wa wastani angalau ya vyumba viwili vya kulala.
 
kuna nyumba za apartment imetulia sana ina vyumba 3 kimoja master na ina sifa zote muhimu. bei $ 1200, pia kuna nyumba mbezi goigi vyumba 3 inajitegemea. parking gari 3 bei $ 800 na nyingine nyinge sema bajeti yako o6571455555
 
Kwanini unatoza kwa USD?
 
Mikocheni unataka utozwe tshs, ipo nyingine tunahama mwez ujao tunapangisha 1m kwa mwezi, ina 4 rums kimoja master bedroom, plus store, sitting and dinning room, ina fensi na parking ya kutosha gar hata 4, ipo mikochen ilipo clouds fm, opposite na nyumbani kwa mama salmin amour,
 
Kwanini unatoza kwa USD?
nyumba sio zangu , mi ni commission agent , ila mwenye apartment wengi wanatoza $ sababu hata wapangaji wa hizo nyumba wengi ni wageni. na pia apartment nyingi za hapa bongo wamefanya partnership na wageni hasa wamarekani na waarabu hivyo kila mwezi huwa kuna marejesho ya $. hawa wanaopokea usd pia wanapokea euro pia. hata tsh wanapokea.kulingana na soko la $
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom