M missilicious Member Joined Apr 16, 2012 Posts 29 Reaction score 7 Apr 23, 2012 #1 natafuta nyumba ya kupanga, iwe Tabata Kinyerezi, iwe na vyumba viwili, sebule, jiko na choo. Parking ni ya muhimu. Mwenye nyumba awe tayar kupokea miezi sita na isizidi laki 2 kwa mwezi
natafuta nyumba ya kupanga, iwe Tabata Kinyerezi, iwe na vyumba viwili, sebule, jiko na choo. Parking ni ya muhimu. Mwenye nyumba awe tayar kupokea miezi sita na isizidi laki 2 kwa mwezi