Natafuta nyumba ya kupanga

Natafuta nyumba ya kupanga

Alkam Alkam

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
603
Reaction score
512
Natafuta chumba Master na sebule maeneo ya Kimara Baruti mpaka Suka au Goba center kurudi Mbezi Beach.

Ikijitegemea luku nzuri zaidi na parking Muhimu Pia Offer Yangu laki moja (100,000) mawasiliano 0759117175 tuma sms au beep ntakupigia
 
Watu wa mikoani tunajitafutia chumba wenyewe..watu wa Dar kila kitu ni utelezi mnataka

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Brother umenifurahisha sana Dah uwezi kua mwenyeji kila sehemu na ukisema utafute wewe mwenyewe utakesha na kupoteza muda

Igunga au Nzega au Tabora au Singida au Babati au Kateshi Sumbawanga Laela Kabwe Mpanda na kwingine huko panawezekana brother sio huku.
 
Natafuta chumba Master na sebule maeneo ya Kimara Baruti mpaka Suka au Goba center kurudi Mbezi Beach.

Ikijitegemea luku nzuri zaidi na parking Muhimu Pia Offer Yangu laki moja (100,000) mawasiliano 0759117175 tuma sms au beep ntakupigia
Kimara mwisho njia ya kwenda bonyokwa kipo chumba sebule na choo ndani, Niko la kujitegemea na parking. Kodi 150,000/= hakuna gharama za udalali, luku ya kujitegemea, maji yapo pia. 2km from Morogoro Rd.
 
Mkuu ukipata hiko chumba cha laki moja nipe connection na mm
 
Mkuu kuna roon stop over kimara ni master bei 120k, ila luku yaku share watu watatu nicheck kwenye no hii
0682202114 Kama utakuwa tayar
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom