Nyamburi JF-Expert Member Joined Oct 28, 2011 Posts 306 Reaction score 37 Jul 27, 2012 #1 Wadau natafuta nyumba kwa maana sebule kwa ajili ya kupanga sehemu yoyote Morogoro,kodi iwe kati ya 50,000 - 70,000 (kwa vyote chumba na sebule) kwa mwezi,ningependelea kulipa katika mfumo wa miezi mitatu kwa kuanzia,iwe maeneo yenye umeme na maji!
Wadau natafuta nyumba kwa maana sebule kwa ajili ya kupanga sehemu yoyote Morogoro,kodi iwe kati ya 50,000 - 70,000 (kwa vyote chumba na sebule) kwa mwezi,ningependelea kulipa katika mfumo wa miezi mitatu kwa kuanzia,iwe maeneo yenye umeme na maji!