Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Kawe

Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Kawe

BUKONGO

Senior Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
169
Reaction score
17
Habari zenu. Natafuta nyumba ya kupanga Kawe iwe self contained yenye vyumba vitatu vya kulala, jiko, sebule, n.k iwe ndani ya geti. bajeti yangu ni kati ya shs 300,000 na 350,000 na si zaidi ya hapo. Ambaye yuko serious ani PM tuwasiliane.
 
Nyumba ipo ila inavyumba viwili na kodi ni 350000 tena inatakiwa hela ya udalali
 
Back
Top Bottom