Natafuta nyumba ya kupanga kimara

Natafuta nyumba ya kupanga kimara

Mshindo

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2009
Posts
478
Reaction score
186
Wakuu habari!
Mdau yeyote mwenye taarifa ya nyumba ya kupanga maeneo ya Kimara,Ubungo au Mwenge. Iwe na sifa hizi:
  • - Vyumba vya kulala 2 au 3 (+ 1 Master bedroom); Sebule, dining, public toilet, jiko
  • - Iwe ndani ya fence
  • - Iwe na Parking space
  • - Isiwe mbali sana na barabara kuu na iwe inafikika kwa gari kirahisi
NB: Hata kama ipo nyumba yenye sifa hizo lakini haipo kwenye maeneo tajwa, naomba tu usisite kunitaarifu.
Njia ya mawasiliano, PM
Asanteni bandugu!
 
weka dau una shiling ngapi? nyumba mbona zipo nyingi sana!, kuna moja haijamaliziwa finishing vyumba vitatu na masta 1 + sifa zote ulizosema kasoro fensi ila ukitaka atakuwekea ! ikikamilika atatangaza bei!
 
Property ID: KDR4001 * Price: TZS 550,000 * Renting
Address: Ununio Beach / Boko Basi, Kunduchi Dar es Salaam
Property Profile
Property Type: House
Property Style: Detached
Bedroom(s): 4
Bathroom(s): 2
Kitchen: 1
General Information
Property Size: 4800
Lot Size: 60x80
Property Age: New - 3yrs
Municipal Taxes: 0
Maintenance Fees: 0
Property Description
4 Bedroom House in Kunduchi with wall fencing for Rent.The House has ample Parking facilities, tiled floor ,three toilet-cum showers.The house is located at Ununio Beach / Boko Basi .The House is about 300 metrs from Beach front and 200 metres from main road.

Interior Information
Appliances: Yes
Floor Covering: Tiles
Upgrades: No Details
Features: See Description
Exterior Information
External Facing: Bricks
Parking Spaces: 4
Location Details: See Description
 
Kuanzia ´Tarehe 17.July . 2011 kuna nyumba inapangishwa Boko karibu na School ya Ununio High School . Kodi ni shs 550,000 kwa mwezi. Mapatano yapo. Ina uwezo wa Parks gari nne. Ina garden , vyoo 3. Shed ya Mlinzi pia.
 
Thanx mkuu. Dau 250 - 300k (Tshs). Naomba updates mkuu hasa kama itakamilika by this July.
Thanx again.
weka dau una shiling ngapi? nyumba mbona zipo nyingi sana!, kuna moja haijamaliziwa finishing vyumba vitatu na masta 1 + sifa zote ulizosema kasoro fensi ila ukitaka atakuwekea ! ikikamilika atatangaza bei!
 
Thanx mkuu. Dau 250 - 300k (Tshs). Naomba updates mkuu hasa kama itakamilika by this July.Thanx again.
Ngoja nikupe namba ya mtu umtafute...+255 767 483665 ..ye anazo Kimara!
 
Thanx mkuu! Nimewasiliana nae...a bit unlucky,...size iliyokua appropriate zimekwisha. Thanx though!
Ngoja nikupe namba ya mtu umtafute...+255 767 483665 ..ye anazo Kimara!
 
Kuna nyumba mbezi luisi piga namba 0784207307
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom