natafuta nyumba ya kupanga kijitonyama

natafuta nyumba ya kupanga kijitonyama

tsar

Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
74
Reaction score
2
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kijitonyama
Iwe na parking
Vyumba viwili vya kulala.
Sebule na jiko.
Piga namba 0755363635.
 
mi niko nayo apartment . 2bedrooms , sittingi , dining .store full furnished $ 700 per month mi ni dalala ipo kijitonyama
0657 145555
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom