Natafuta Nyumba ya kupanga k/nyama

SUPERUSER

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
960
304
Nyumba iwe na tiles,bed room1,choo,jiko,sebule na luku ya kujitegemea...ahsante 0763095182
 
kuna nyumba ipo manzese uzuri ukishapita sweetcorner mbelevkuna hii shule ya secondari. nyumba ina vyumba viwili vya kulala kimoja master,luku inajitegemea jiko la ndani na maji yawekwa siku si nyingi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom