Natafuta nyumba yenye vyumba vitatu, atleast kimoja kiwe master, iwe katika hali nzuri, umeme na maji, iwe na nafasi ya kupaki magari mawili, na fence, iwe maeneo ya kinondoni, survey, au kijitonyama, sihitaji dalali,
budget 350,000 ..
maeneo unayoyataka bila dalali uwezekano wa kupata ni mdogo. Wenye nyumba wengi maeneo hayo hata ukienda atakuelekeza kwa dalali kwanza maana unakuta madalali ni wadogo zao, wapwa, mashemeji etc...so lazima wakusukumie kwao ili nao wakuchomoe.....it is a sad fact!!!