Mu-sir
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 3,621
- 1,645
Wanabodi habari,
Natafuta nyumba ya kupanga Dar es Salaam yenye specification zifuatazo;
1. Vyumba viwili vya kulala kam kuna master room ni bora.
2. Jiko, Sebule, choo n.k
3. Parking umeme na maji pia. Iwe maeneo yoyote karibi na mjini.(hata ukonga sawa tu)
ANGALIZO.
NITAKUWA TAYARI KUANZIA MWEZI JUNE MWISHONI.
kama kuna aliyenayo ani PM wakuu.