Natafuta nyumba ya kupanga Changanyikeni

iGodmanhustler

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
609
339
Msaada Jamvini,

Natafuta nyumba (master yenye sebule na jiko) iwe Changanyikeni karibu na UDSM kule au mtu mwenye namba ya simu ya dalali wa maeneo yale.

Asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom