masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,211
wadau please naomba tusaidiane katika hili maana kiukweli madalali wanasumbua
NIMEWAPA WIKI NZIMA yaani anakupigia simu mnaenda mkifika anakuonesha unamwambia mbona maelezo ya sim nahapa ni tofauti anakwambia yaani kama UNGEKUJA JANA UNGEPATA ILE ISHACHUKULIWA YAANI KWA KIFUPI NIMETEMBEZWA KARIBU CHANIKA LAKINI WAPI
mwenye nayo au alipo kama kuna mtu mwenye nayo
VYUMBA VIWE VIWILI NA KUENDELEA
CHOO NDANI
PASIWE MBALINSANA NA BARABARA
BEI:ITATEGEMEA NA HALI YA VYUMBA ILA 100000 kwa maeneo yale nadhani nitapata nzuri
mawasubiri