Natafuta nyumba ya kupanga Arumeru

Natafuta nyumba ya kupanga Arumeru

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2011
Posts
303
Reaction score
154
Wanajf!!

Ninatafuta nyumba ya kupanga kwa ajili ya makazi, kwani nimehamishiwa hapa Arumeru, Arusha. Nyumba iwe ya vyumba vitatu (kimoja kiwe master bedroom) vya kulala, sitting, dining etc.

Hata kama una namba ya dalali, si vibaya ukaiweka hapa (lakini pia unaweza kuni-PM)

Uwezo wangu ni nyumba ya hadi Tsh 200,000 @ mwezi
 
Ungeeleza maeneo yapi unapendelea lakini ninayo inakidhiahitaji yako, ina fensi, parking ya gari 4. Laribu
 
Ungeeleza maeneo yapi unapendelea lakini ninayo inakidhiahitaji yako, ina fensi, parking ya gari 4. Laribu

Amesema yeye ni mgeni, kwa hiyo inawezekana hata maeneo ya Mji wa Arumeru hayafahamu
 
Uliza kwanza tabia za wenyeji mkuu.
Kabla hujaanza Kutafuta nyumba
Hee. Aulizie tabia za wenyeji, kivipi? Kama ni mwajiriwa na amepangiwa kazi huko, hata akiuliza tabia za wenyeji haitamsaidia. Labda kama anataka kuoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom