Natafuta nyumba ya kununua

Kuna nyumba ipo kinondoni karibu kabisa na gereji inayoitwa pachoto nyuma ya Mk Bar ina nyumba kubwa na ndogo nyumba, nyumba kubwa ina master, vyumba 2 choo na bafu la ndani, jiko, dining na sitting. nyumba ndogo ina chumba na sebule, jiko, chumba cha hausigeli na choo cha nje, ina sehemu ya kupark gari 2 bei million 250 ila inashuka, hati zote zipo sawa, nyumba iko barabarani kabisa na muuzaji mkuu ni mama yangu mdogo, Nichek 0717 992035 nikuunganishe na bi mkubwa kwa mwenye uhitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…