Kwaniaba ya rafiki yangu,anatafuta nyumba ya kununua dar maeneo ya kimara,tabata,chan'gombe etc bajeti yake sh mil 30,iwe kubwa na nzuri,pia iwe na nafasi kiasi ,isiwe uswahilini, matengenezo yawe madogomadogo tu,tuwasiliane tafadhali.

Utapata! ila inatakiwa uvute subira na u-play smart sana,
Nakushauri umwambie ndugu yako aweke tangazo lake kwenye haya magazeti ya kila siku ( Classified ad section)
Anunue sim card mpya kwa ajili ya mawasiliano ambayo haitapatikana baada ya biashara kukamilika, aweke pia email address address yake....mwisho kabisa atoe angalizo kwamba " Dalali Hatakiwi kwani hatalipwa commission, Mwenye Nyumba awe willing kusaidia Mpaka pale documents( Title deeds) zitakapokuwa verified ofisi za ardhi kwamba ni Genuine"
Kama hana haraka sana ataipata tu! watu wako desparate na cash!!!!!
Nyumba kubwa yenye nafasi nzuri isiwe uswahilini kwa 30M????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Dah, kama hizi zipo nadhani ni wakati muafaka kuzitafuta kama kumi hivi kwa jili ya kupangisha!