natafuta nyumba tabata jamanii..

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,301
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya tabata jamani..
 
Nyumba ya kupanga au kununua? N kama kupanga ni full house au rum kadhaa?
 
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya tabata jamani..
funguka vizuri usaidiwe,

tabata kubwa, hujali tabata gani alimradi ni nyumba?
nyumba ya vyumba vingapi?
uwezo wako wa kodi mwisho ngapi?
 
wewe wa kiume au wa kike?kuna mzee mmoja ana nyumba tabata anataka binti ambae hajaolewa.kama uko tayari sema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…