Natafuta Nyumba Moshi

Natafuta Nyumba Moshi

comred

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
1,867
Reaction score
1,607
Salamu kwenu..

Ndugu wajumbe natafuta nyumba ya kupanga Moshi mjini..
Eneo/maeneo Shant town au soweto
Sifa ya nyumba selfcontain/studio apartment

Shukrani.....
 
wakuu msaada wenu utanisaidia sana

ndugu mdukuzi inaonekana macho yako yana mapengo pole kwa hiloo..

nategemea msaada wenu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom