Natafuta Nyumba Mbezi Beach

Natafuta Nyumba Mbezi Beach

conrym.conrym

Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
99
Reaction score
7
wadau, natafuta nyumba au upande mzima mbezi samaki, tangi bovu, goig hata kama kuelekea maeneo ya massana sio mbaya ila pasiwe mbali sana na barabara. iwe na Vyumba viwili atleast kimoja master. bajeti yangu ni 200,000
 
kwa mbezi beach hutopata nyumba standard,nakushaur uchek salasala kwa hyo bei utapata nyumba nzur na mpya
 
wadau, natafuta nyumba au upande mzima mbezi samaki, tangi bovu, goig hata kama kuelekea maeneo ya massana sio mbaya ila pasiwe mbali sana na barabara. iwe na Vyumba viwili atleast kimoja master. bajeti yangu ni 200,000

hiyo bajeti kama ya chumba kimoja na sebule vilee!.ongea na dalali 0787767665
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom