Natafuta nyumba maeneo ya Kimara au Ubungo

Natafuta nyumba maeneo ya Kimara au Ubungo

E.A.MWAKYUSA

Member
Joined
Nov 7, 2014
Posts
65
Reaction score
4
Naomba mwenye kuwa nayo anijuze kwa namba 0765791233 iwe na vyumba 3 vyakulala pamoja na mambo mengine muhimu kama sebule, choo, n.k.
 
Naomba mwenye kuwa nayo anijuze kwa namba 0765791233 iwe na vyumba 3 vyakulala pamoja na mambo mengine muhimu kama sebule, choo, n.k.

Hii hapa mkuu ipo kimara suka-golani ina vyumba 3 jiko,stoo, na ina eneo kubwa
 
Attachments

  • 1416861618105.jpg
    1416861618105.jpg
    48.9 KB · Views: 188
  • 1416861658236.jpg
    1416861658236.jpg
    41 KB · Views: 173
Mie nahitaji maeneo ya tabata au Mandela Road (iwe riverside, external) budget 180,000/= vyumba viwili vya kulala na sebule.

Niwaombe radha wale walionitafuta jana nilikuwa darasani nikashindwa kujibu simu zao, mwengine aliniambia ipo kitunda tafadhali maeneo nimeyataja hapo juu kama unayo nipigie 0754079733
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom