Mkuu, nimeku pm, mi ni dalali nina nyumba nyingi eneo la chamazi na tabata, japo sijafahamu kama unataka kupanga au kununua zaidi tuwasiliane kwenye 06571455555 Akiri
ni sha ku pm sasa bado nauliza nyumba unayoitaka ya kupanga au kununua.?Wadau natafuta nyumba eneo la Mbagala chamanzi ,ukubwa na bei ni muhimu kuweka hapa ili nijue kama nina ubavu japo wa kupatana !