M miettu Member Joined Sep 12, 2012 Posts 25 Reaction score 0 Aug 16, 2013 #1 Natafuta nyumba ya kupanga Moshi, iwe self ya chumba kimoja, au vyumba viwili double, ila pawe na parking ya kupaki gari. 0758-717754
Natafuta nyumba ya kupanga Moshi, iwe self ya chumba kimoja, au vyumba viwili double, ila pawe na parking ya kupaki gari. 0758-717754
M mbee Member Joined Jan 12, 2013 Posts 7 Reaction score 0 Aug 17, 2013 #2 Nyumba ya kupanga ipo mailisita barabarani karibu na njia ya kweda mahakamani bei 200/000=kwa mwezi kodi miezi mitatu .
Nyumba ya kupanga ipo mailisita barabarani karibu na njia ya kweda mahakamani bei 200/000=kwa mwezi kodi miezi mitatu .