Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
wakuu,
Inahitajika nyumba, vyumba viwili vya kulala (kimoja master), sebule na jiko pamoja na parking.
Pia kinahitajika chumba self contained.
Eneo ni Changanyikeni, nyuma ya chuo kikuu cha dar es salaam.
Asanteni.