Wadau nategemea kuhamia arusha mapema mwezi ujao kwa neema ya mungu.naitaji nyumba au vyumba viwili vya kupanga.sio mwenyeji arusha ila ofisi yangu itakua eneo la njiro karibu na chuo cha esami. Nitapenda makazi yangu yawe sio mbali sana na eneo la ofsi angalau kilometa 10 maximum.
Naomba msaada wenu wadau.
Wasalaam!!
Njiro Nyumba ni kichaa...zipo juu sana kwa sababu ya wanafunzi wa Esami na Uhasibu....itabidi utakayopata hata kama haikidhi haja zako ukubali tu ukae huku unatafuta unayotaka taratibu..all the Best!!