bonnykessy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 204
- 230
Mpendwa mteja,kutokana na maboresho kwenye vipindi vya ZUKU,kifurushi cha Classic kitakua 18,000/- & Premium 25,000/- kwa mwezi kuanzia 1st March 2016.Asante
..ndiyo sms waliyonitumia zuku muda si mrefu,liking'amuzi lao halina quality kiviile..juzi tu walipandisha bei kutoka 13 000 classic kwenda 15500/= leo wamepandisha bei mpaka 18 000/=…mbaya zaidi kifurushi kikikata huoni chochote even local tv chanels,hawanipati tena ng'o!!!