Natafuta Ngamia wa Kununua

lawyer2

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
224
Reaction score
67
Salaam..

Naombeni msaada wa kupata ngamia wa kununua hapa Tanzania. Nahitaji wadogo kwa lengo la kufuga. Mwenye nao au anejua pakupqta naombeni msaada. Tuchekiane kwa namba 0686 666666.

Asante sana
 
Unaweza kuagiza Uarabuni pia wakaletwa na Emirates bila wasiwasi.

Jaribu kufanya mawasiliano na wenyeji wa Arusha, kule Ngorongoro niliwahi kuwaona wanazurura maporini.
 
Kule Same . Wapo wengi.
Mtafute Abdallah Mwaipaya.
Chap kidogo utawapata
 
Atakayetaka punda me nipo tuchekiane PM wakuu

Location singida
 
Asanteni kwa mawazo mazuri..ntafanya hivyo
 
Atakayetaka punda me nipo tuchekiane PM wakuu

Location singida
Mkuu ni Punda ile ndugu yake na Zebra inayobeba mizigo barabarani au punda ile inayoongea na kubeba "mizigo" kwenda ughaibuni ?
 
Niliwaona Dodoma Vijana Wakipanda
Ngoja Nikiwaona Nitauliza Wa Kununua. Uwe Unajua Kusoma Surrat ~Zubaa πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€
Hiyo sura niyakumkalisha ngamia ili achinjwe 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…