Naamini kwa kuanzia ni kujitolea ila baada ya kuongeza thamani,ufanisi na tija katika mukhtadha wa ufundishaji wahusika wanaweza mfikiria namna atakavojikimu!Unajitolea ? Kwahiyo unataka kufundisha bure bila malipo au mm ndio sijaelewa?
Nimeahirisha masomo chuo kikuu sababu za kifedha, natafuta shule ya kufundisha masomo ya biashara, nipo Moshi mjini. Mawasiliano 0623428043
Dada sasa masomo yaniashara so ufanye biashara atakama mtaji auna kila siku wanafundisha jinsi yakupata mtaj kuna biashara unaaza ata naelf kumiNimeahirisha masomo chuo kikuu sababu za kifedha, natafuta shule ya kufundisha masomo ya biashara, nipo Moshi mjini. Mawasiliano 0623428043