Natafuta nafasi ya kujitolea

Natafuta nafasi ya kujitolea

HDS

Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
45
Reaction score
3
mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 29 nina dilpoma ya maendeleo ya jamii na nilimaliza mwaka 2012 nilikuwa naomba mwenye kujua sehemu wanazohitaji kujitolea ani pm pls.
 
mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 29 nina dilpoma ya maendeleo ya jamii na nilimaliza mwaka 2012 nilikuwa naomba mwenye kujua sehemu wanazohitaji kujitolea ani pm pls.

sehemu wanazohitaji kujitolea nini sasa? Kazi?
 
hapo nimeshasema nilichosomea sasa sijui hilo ni swali gani unaniuliza sangara
 
Back
Top Bottom