Natafuta nafasi ya kufundisha physics

Natafuta nafasi ya kufundisha physics

uko mkoa gani kama pwani, karibu shule ya kata mshahara laki 1
 
Naweza pata details kidogo mkuu? Jamaa juu hapo kanipa option ya Pwani ila nikiwaza itabidi nikaishi huko, napata wakati mgumu kwa ofa yake....

njoo mafia pwani, tutakupa hela nzuri nitunie namba yako email yangu, frehuu@gmail.com
 
njoo mafia pwani, tutakupa hela nzuri nitunie namba yako email yangu, frehuu@gmail.com
mm ni mwl. wa physics nipo tayari kuja huko mafia naomba tuwasiliane kwa namba ya simu 0716008855
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom