Natafuta nafasi ya kazi

Natafuta nafasi ya kazi

Garincha

Member
Joined
Nov 21, 2012
Posts
7
Reaction score
1
Nimehitimu stashahada(diploma) ya ununuzi na ugavi(procurement and logistic mangagement)ktk chuo kikuu cha ZANZIBAR UNIVERSITY(zu).ninauzowefu mzuri.nimefanya mafunzo ya vitendo ktk Ofisi ya Rais Fedha,Uchumi na mipango ya maendeleo.pia ktk kampuni ya kitalii ya Mazsons hotel ltd.vile vile ninaujuzi wa computer(computer application skills)ktk collage ya Zoom polytech.hvyo naomba msaada wenu.
 
Jaribu kuwa mtembeleaji mzuri wa websites zenye matangazo ya kazi kama zoomtanzania na nyinginezo,Nina imani utafanikiwa mkuu. Mi pia zimenitoa izo website
 
Back
Top Bottom