Natafuta nafasi ya kazi

Natafuta nafasi ya kazi

karume msaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2018
Posts
418
Reaction score
725
Habari za wakati huu wanajamvi

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Nakuja mbele yenu kwa unyenyekevu mkubwa kabisa kuomba koneksheni yoyote ya kazi.

Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 29 mwenye familia ya mke na mtoto mmoja.
Hadi naandika uzi huu ni Kwamba maisha yangu ni magumu kabisa, nimejaribu kutafuta koneksheni za kazi mbali mbali bila mafanikio.

Sifa nilizonazo
1:Certificate in mining engineering technology (COLLEGE)
2: short course in Heavy-duty mechanics (VETA)
3: certificate in psv driving with driving license class A, B, C1, C2, C3 And D (VETA)
4: certificate in labour based technology (MUST)
5:Certificate of the secondary education (O-LEVEL)
6: birth certificate
7: Nida
8: valid driving license
9: Tin number

Uzoefu:
1:Uwezo wa kuendesha gari binafsi na gari za abiria katika hali zote Pia gari zilizochini ya tani 3.5 hata usiku wa manane kwa usahihi kabisa
2:Uwezo/ujuzi wa kusimamia kazi au jambo hadi kukamilika kwa wakati
3:Uwezo wa kufanya hesabu za ujenzi wa nyumba mfano hesabu za bati,tyles, tofari nk.
4: uwezo/ujuzi wa kuelekeza na kufundisha ufundi magari na mitambo.
5: uwezo wa kufanya kazi za migodini hasa kwenye nyanja za blasting, haulage pamoja na drilling. Pia kufanya kazi kama offsider, helper au cleaner
6. Uwezo wa ushawishi kwa kuzingatia nyakati, mazingira na hali halisi iliyopo eneo husika.

Utayari:
Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote hata nje ya nchi pia japo sina passport/visa

Naomba kusaidiwa kupata kazi pia kwa wale wanaotaka kunishauri karibuni sana.

Mawasiliano 0614819125.
Pia Inbox yangu ipo wazi, kwa mwenye kuhitaji kuja Inbox karibu sana.
0714767410 whatsapp peke yake.

Hata wale watakaohitaji kuwasiliana na mimi kwa usiri mkubwa Karibuni sana inbox yangu.

Ahsanteni sana.
Kwasasa nipo dar es salaam (DSM)
 
Aisee umejieleza vzr sana. All the best
 
Safi sana mkuu...
Ukipata time nichake pm nikutumie link ya group flan unaweza pata kitu
Ahsant
 
Back
Top Bottom