Natafuta nafasi ya kazi

Joined
Aug 4, 2021
Posts
60
Reaction score
55
Wakuu nimerudi kwenu tena, nipo dar es salaam natafuta nafasi ya kazi. Kazi yoyote inayo husu computers naweza fanya!. Data entry, Microsoft Office works, computer software repair and maintenance. Na nyingine nyingi zilizopo katika fani hii..

Kama inahitajika cheti basi nina Astashaada ya Computer Science. Umri wangu miaka 23.

Asanteni!.
 
Moshi tunahitaji mtu wa computer au stationary .uwasiliane kama bado unahitaji kazi -0717157640
 
Habarii,
Kuna kazi ya staionary,kufundisha computer na tution kwa wanafunzi wa sekondari.
Tupo mji wa Himo, Moshi Kilimanjaro
kama unaweza kazi hii tuwasiliane-0717157640
 
Habarii,
Kuna kazi ya staionary,kufundisha computer na tution kwa wanafunzi wa sekondari.
Tupo mji wa Himo, Moshi Kilimanjaro
kama unaweza kazi hii tuwasiliane-0717157640
Mkuu naomba maelekezo zaidi DM [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…