Natafuta nafasi ya kazi ya udereva

Natafuta nafasi ya kazi ya udereva

salimmushi

Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
9
Reaction score
1
Natafuta kazi ya udereva nitafurai kama nitapatakazi nina uzoefu usio pungua miaka sita barabarani nina leseni class C C1 C2 C3 Na A B D E Nitafurai kama mtaweza kunisaidia kupata kazi sehemu yoyote mkoa wowote ule napatikana kwa mawasiliano 0785837710
P S V
aec5b8f86b7a8acc54a177d1f3225816.jpg
 
Back
Top Bottom