Natafuta nafasi ya kazi/kujitolea

Natafuta nafasi ya kazi/kujitolea

NTALYAGA

Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
19
Reaction score
4
Habari zenu wana JF,

Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 26. Nina shahada ya uchumi na fedha.

Ninawaomba wana JF mnisaidie nafasi ya kazi (kujitolea) katika NGO yoyote mkoani Morogoro. Asante.

Mawasiliano:
0684 148465
 
Back
Top Bottom