Unpaired
Senior Member
- Aug 3, 2018
- 176
- 169
Habari wakuu,
Mi ni kijana wa miaka 24, naishi Dodoma kwa sasa, nimehitimu mafunzo ya course ya Biashara kwenye USIMAMIZI WA FEDHA NA UHASIBU kwa level ya Shahada, Yani Bachelor of ACCOUNTANCY & FINANCE (BAF), pia nina ujuzi wa Package ya Tally ERP 9 intermediate level. Naomba mnisaidie kupata hata sehemu ya kufanya voluntary katika field hizi za Fedha .
Hali ni mbaya wakuu, tusaidiane wema hauozi email linkavel19@gmail.com
salaam.