Watamfata wengi ila lengo wachape wakimbie,
Nilichogundua wengi wanaotafuta wachumba huku hasa wadada ni warembo wenye shepu zao,
Hicho tu hufanya wanaume kutoamini kuwa kakosa maeneo alipo na kuhisi labda ni malaya au anachagua sana pengine anataka wenye magari,
Lakini wadada wapo serious na wapo simpo sana uwoga wetu tu wa kutishwa na uzuri na shepu.