Tumbili wa Mjini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 3,956
- 8,204
Wewe ni bikra? Kama sio basi ni Malaya kama Malaya wengineHabari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala sijawah kuolewa, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa mbali)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi wala mrefu(wastani)
Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 36 hadi 45 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu pm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Si unamjua mtu RITA anifanyie mchakato wa cheti.Miaka imekuangusha bro 😂
Nakazia usikute kila size zimeingia huko kuanza wa kibamia mpaka marunguHujawah kuolewa sawa, lkn je ushawah kulala na mwanaume ? Namanisha bikira au sio bikira ?
Acha basi 😂😂😂Dar ndio sample ya watanzania wote kama dar hakuna Tanzania pia hakuna.
Huna vigezo, kasema asizidi mtoto mmojaNina miaka 47. Nna watoto watatu mama tofauti Ila sina mawasiliano nao.
Dini nasali Kwa Mtume Mwamposa.
Natamni hii chance
Mnataka nidanganye iwe shida huko mbeleni.Huna vigezo, kasema asizidi mtoto mmoja
Amesema mwisho 45Nina miaka 47. Nna watoto watatu mama tofauti Ila sina mawasiliano nao.
Dini nasali Kwa Mtume Mwamposa.
Natamni hii chance
Usikariri mkuuu.Ogopa sana,mabinti wa hv wanakuwaga wameshindwa mtaani,hata na we ukijaribu yatakukuta.wana vikasoro fulani hv,gubu,hasira,kuomba omba vihela usipompa kwa wakati anavimba ko mwanaume anaejielewa hajipi mzigo
Atanue goli kidogoAmesema mwisho 45
Hongera sana mkuu. Ulifanya jambo jemaDah nashukuru Mungu nilishavuka hio stage
Yaani we mshangazi wa kichaga unapanga kabisa na mwaka wa kuolewa yaani 2024?Habari za humu jf