Sesc
Member
- Dec 31, 2018
- 19
- 7
Ata mimi nahitaji kama lako, iLa urafiki wetu uishie humu humu usiombe namba tuu. Kama upo tiali pm ipo wazi karibu mpendwa.
Hawa new member wanasumbua sana
Hawa new member wanasumbua sana
Ata mimi nahitaji kama lako, iLa urafiki wetu uishie humu humu usiombe namba tuu. Kama upo tiali pm ipo wazi karibu mpendwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niache tuu. Tafuta wengineWale tunaoendaga mbal zaid unatusaidiaje uko Pm
mbona unampangia?Mawazo tafuta kijiwe Washikaji wapo wengi tu,utabadadilishanaje na jinsi tofauti mawazo? Act masculine bro
Mawazo tafuta kijiwe Washikaji wapo wengi tu,utabadadilishanaje na jinsi tofauti mawazo? Act masculine bro
Ata mimi nina hilo tatizo pliz njoo PM tuwe tunachati namba yako sina muda nayo ni PM tu kunatoshaAta mimi nahitaji kama lako, iLa urafiki wetu uishie humu humu usiombe namba tuu. Kama upo tiali pm ipo wazi karibu mpendwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anza wewe kuja pm.Ata mimi nina hilo tatizo pliz njoo PM tuwe tunachati namba yako sina muda nayo ni PM tu kunatosha
Sent using Jamii Forums mobile app
May be kuna tatizo. But mbona naona zinazoingia na najibu pia. Sema kwangu siwezi anza may be kwenye kujibu ndo inakubali
hicho ndio kimekuleta humu ndani? Rudi FB ulipotoka ndo utakutana nao
Zinaingia za wangapi kwa siku mkuu?May be kuna tatizo. But mbona naona zinazoingia na najibu pia. Sema kwangu siwezi anza may be kwenye kujibu ndo inakubali
Sent using Jamii Forums mobile app
Aahh chache tu. Watu wahumu hawahitaji hayo mambo. Txt me again plz.