James 78 huyo mke unayetaka kumuoa ni mke wa kwanza au wa pili. Hujasema kabila . Magumu kama Yapi aliyeachika au kufiwa na mumewe
Mengine jimena silazima kuyaweka wazi, atakayetokea pm tutafahamishana zaidi, kikubwa ni utayari tu.
Hayo maeneo ya bold umeshaharibu rafiki.......Hawa viumbe wajanja sana ktk kumjua mtu kwa kuunganisha maneno na maandishi....Sijui lakini, nisiwasemeeKama heading ilivyo,
Natafuta mwanamke wa kumuoa ambae amepitia magumu katika mahusiano ya awali ili tufarijiane, awe na nia ya dhati ya kuingia kwenye ndoa. Aliye tayari kupenda tena, awe na miaka kati ya28 mpaka 36, anayejua maisha. Mimi nina miaka 36 mfanyabiashara mengine tutajulishana.
Kwayeyote aliye seriuos anipm kwa mawasiliano zaidi.
Sitajibu mzaha wowote.
Asanteni.
Kama heading ilivyo,
Natafuta mwanamke wa kumuoa ambae amepitia magumu katika mahusiano ya awali ili tufarijiane, awe na nia ya dhati ya kuingia kwenye ndoa. Aliye tayari kupenda tena, awe na miaka kati ya28 mpaka 36, anayejua maisha. Mimi nina miaka 36 mfanyabiashara mengine tutajulishana.
mimi nna 32 sijapitia mengi kwenye maisha ila nimesoma mengi,naishi na Dad kupenda tena sio rahisi lakini ntajaribu fursa ikipatikana,lakini nijue wewe mtu wawapi,dini gani,unaishi wapi .....Karibu Tanga.............
Hapana si WA kwanza bwana chipolopolo WA kwanza aljfariki kwa ajari ya Pkpk mwaka juzi. Anaweza kuwa aliyefiwa kama Mimi au aliyeachwa.
Kama heading ilivyo,
Natafuta mwanamke wa kumuoa ambae amepitia magumu katika mahusiano ya awali ili tufarijiane, awe na nia ya dhati ya kuingia kwenye ndoa. Aliye tayari kupenda tena, awe na miaka kati ya28 mpaka 36, anayejua maisha. Mimi nina miaka 36 mfanyabiashara mengine tutajulishana.
mimi nna 32 sijapitia mengi kwenye maisha ila nimesoma mengi,naishi na Dad kupenda tena sio rahisi lakini ntajaribu fursa ikipatikana,lakini nijue wewe mtu wawapi,dini gani,unaishi wapi .....Karibu Tanga.............
Naishi dar mengne ntayajibu ukija pm
Aliye serious and pm plz