Natafuta mwanamke wa kuoa

umeandika vyema Lolipop
 
Last edited by a moderator:
Jamani kupata mke unayemtaka huku ni majanga, labda hawara utapata anyway Mungu akujalie Rehema zake ufanikiwe.
 
Siwezi we nipe namba yako ya cm ili nikueleze

Jamani namba zake kabandika PM nenda utazikuta,.

Alafu we nnawasiwasi huna rangi ya chocolate jinsi unavyoomba namba hapa inaonekana unarangi ya kijivu.
 
Iko poa sana Lolipop
 
Last edited by a moderator:
Kama hauwezi,then haupo serious kama mm minavyomaanisha.sorry

Acha uduanzi,kuna memers hawajui ku PM ...sio kwamba hataki kuku PM.... bali hajui,na pia zamani ilikuwa mpk ufikishe posts fulani ndio unaweza kum PM mtu......wewe Mpe numbers zako huko PM ....inawezekana akawa mke mwema kwako........haya kamata fursa uende.
 
Kama huwezi kunipm.sorry I can't expose my. Contact in public.
 
Wala mimi sina shida hio,hujanielewa na sina muda wa kukuelewesha..sorry pia.

Ok,cna haja ya kueleweshwa na ww,niliandika kama huna cha kucoment pita kimya kimya
 
Ok,cna haja ya kueleweshwa na ww,niliandika kama huna cha kucoment pita kimya kimya

Ok kaa na ma-attitude yako,kama utapata mke...una shida ya mke halafu unaleta nyodo.
 
Uduvi!!unahitaji mtu wa kuoa au wakungonoka nae tu!!maana mmmh sijui,masai dada njoo umsaidie kumtafutia mke bwana kaka hapa.
 
Jamani namba zake kabandika PM nenda utazikuta,.

Alafu we nnawasiwasi huna rangi ya chocolate jinsi unavyoomba namba hapa inaonekana unarangi ya kijivu.

ahahahaha rangi yake inatia mashaka eeh?
 
Uduvi!!unahitaji mtu wa kuoa au wakungonoka nae tu!!maana mmmh sijui,masai dada njoo umsaidie kumtafutia mke bwana kaka hapa.

mmh
MI NINA USHAURI MMOJA TU
atafute pesa tu kina masai dada wapo haitaji kutumia nguvu nyingi kiasi hiki
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…