Wadau!
Baada ya kuzinguliwa ukweni kwamba nimechelewa kupeleka posa, nimeamua kutafuta mwanamke mwingine,
Mimi ni mwanaume, mfanyakazi, nina umri wa miaka 28, elimu yangu ni degree,
Natafuta mwanamke umri miaka 20-27 elimu yake form 4 na kuendelea, awe ameajiliwa. Awe na upeo wa kimaisha na anayejitambua.
Aliye tayari ni-PM.