mimi na avatar yako tu!Patrick wa dar.....
njoo kwangu nina hera nimeweka kwenye sandurusiMi nataka kuole, ila ngoja kwanza nikuulize kitu. Una hela mkuu? Maana nina sifa zote ila tatizo napenda hela!
Hahahaaaaaaaa du! Ngoja kwanza nifikilie jinsi ya kukimbia na hilo sandarusi ndio nije.njoo kwangu nina hera nimeweka kwenye sandurusi
[emoji126]Hellow ,naitwa Patrick wa dar natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo, mvumilivu, mpole, mtiifu, mcha mungu, sina ubaguzi wa kabila wala dini, elimu, hata akiwa na mtoto sio mbaya, umri kuanzia 25-30,dini yeyote, mimi umri wangu ni miaka 32,dini mkristu, elimu chuo kikuu, asanteni sana, ni pm kwa mawasiliano zaidi
nitakupa tu utaona hela si za maana ukinikosa mimi .mi ndo chanzo cha eraHahahaaaaaaaa du! Ngoja kwanza nifikilie jinsi ya kukimbia na hilo sandarusi ndio nije.
Nakuja basi, nikukute pale njiepanda ya kwenda Manulemango.nitakupa tu utaona hela si za maana ukinikosa mimi .mi ndo chanzo cha era
ngoja niweke mafutaNakuja basi, nikukute pale njiepanda ya kwenda Manulemango.
Zipo hats usijaliMi nataka kuole, ila ngoja kwanza nikuulize kitu. Una hela mkuu? Maana nina sifa zote ila tatizo napenda hela!
Ukuta umesimama!Patrick wa dar.....