Natafuta mwanamke wa kuoa

Huyu jamaa alivyoona kuna neno "Bachelor" huku akajua ndo yaleyale... jukwaa la mahusiano. Hiyo uliyoiona ni Bachelor Degree kaka...[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hahaha nmecheka kwel kwel
 
Huyu jamaa alivyoona kuna neno "Bachelor" huku akajua ndo yaleyale... jukwaa la mahusiano. Hiyo uliyoiona ni Bachelor Degree kaka...[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Nimecheka zaidi ya sana.
 
Heslb ndio tatizo mpk jamaa kapiga chn shule, total kapewa 12500/=
 
Huyu jamaa alivyoona kuna neno "Bachelor" huku akajua ndo yaleyale... jukwaa la mahusiano. Hiyo uliyoiona ni Bachelor Degree kaka...[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Napita tu njia mkuu
 
Upo kama wale wapiga matarumbeta kwenye shughuli mbalimbali. Vipi ndio kazi yako?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…