Natafuta mwanamke wa kuoa

Half B

Member
Joined
Sep 12, 2016
Posts
30
Reaction score
12
Mimi ni kijana wa miaka 31, nimwajiliwa serikalini, nahitaji mwanamke wa kuishi naye kama mke.

Sifa;
1.Mrefu
2.Mweupe
3.Mcha Mungu
4.Awe tayari kuishi mazingira ya kijijini kwa wakati huu.

Aliye tayari ani pm kwa mawasiliano zaidi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…