bei itajitokeza mara baada ya kuona uzuri na ubora w kazi ulioufanya broUna bei gani kiongozi wengine sisi madalali wa kuwatafutia watu wake...jiongeze upate hitaji la moyo wako ukitaka mwenye chura,flat kama ubao uliopigwa patasi,mwenye jicho legelege,kipipa/kifutu,mwanamke sura tako mbwembwe na nk
Kiwango cha elimu cha mke unakae mbona kama hujakipa kipaombelebei itajitokeza mara baada ya kuona uzuri na ubora w kazi ulioufanya bro
Lugha je? Kiswanglish,kiinglish,kiswahili,au kilughakiswahili(mfano wachaga,sukuma)kidato cha nne na kuendelea
Awe na chura au flat screen?kama kichw cha hbr kinavyojieleza natafuta mwanamke wa kuoa sifa zake ni kama ifuatavyo;
-awe na umri w miaka21
-mweupe
-mrefu kiasi asiwe mrefu sana wala mfupi sana
-asiwe mnene sana
kweli charity begins at home! Maneno gani haya?Ebu weka picha yako basi ,machangu doa wa humu wakuone