Mtumwa wa kweli
Member
- Feb 11, 2011
- 71
- 6
Mtumwa wa ukweli, katika swala zima la mwanamke wa kuoa, umeweka kigezo no 1. kama elimu, unahasara katika ndoa yako, either kama huko serious, ndoa haina chuo, ndoa haina mwalimu, ndoa haina mkufunzi bali ndoa njema utaipata kama utapata mwanamke anayemcha Mungu tu basi, kuna faida gani kupata mwanamke form six, then ukimuuliza kitu anakushikia kiuno? Tafuta anayemuogopa Mungu kwanza, vigezo vingine vyote vinapatikana tu, weupo huo unanunuliwa dukani lakini si hekima, utu, na maarifa.
Leta tatizo lako JF baada ya maombolezo...Yaani watu tunatafakari mustakabali wa mabomu yanayoua raia wema wewe unatuletea mambo ya ngono na ufuska.... unadhani waliofiwa na ndugu zao watakuelewaje ... Si ni kama mwenzio kafiwa wewe unapiga muziki... Tafadhali issue yako iweke on hold kwanza tuongelee suala la Gongo la mboto.
mmmhhhh Susy,mbona we kwako uliweka kigezo cha weupe hukujua unaweza nunuliwa dukani?wewe vigezo uliweka iweje mwenzio asiweke?
Mungu ni mwaminifu,yeye ni baba yetu anasema huwezi omba hiki akakupa kile,anajua matamanio ya mioyo yetu na nani yu sahihi kwetu,daima hawezi kupa mwanamke ambaye huvutiwi nae na kaka yangu endelea kuwa na vigezo vyako,usichukue mwanamke mradi mwanamke,tafuta yule roho inaridhia,la muhimu mtangulize Mungu na uwe na subira,kama Mungu akileta wa tofauti,utakuwa unavutiwa nae na vigezo vyake utavikubali,lakini kamwe usioe mwanamke asiye meet expectation zako,utaumia!!!
Nakutakia kila la kheri......
NB: ingependeza ungeweka nawe vigezo vyako wajue.
Leta tatizo lako JF baada ya maombolezo...Yaani watu tunatafakari mustakabali wa mabomu yanayoua raia wema wewe unatuletea mambo ya ngono na ufuska.... unadhani waliofiwa na ndugu zao watakuelewaje ... Si ni kama mwenzio kafiwa wewe unapiga muziki... Tafadhali issue yako iweke on hold kwanza tuongelee suala la Gongo la mboto.
Leta tatizo lako JF baada ya maombolezo...Yaani watu tunatafakari mustakabali wa mabomu yanayoua raia wema wewe unatuletea mambo ya ngono na ufuska.... unadhani waliofiwa na ndugu zao watakuelewaje ... Si ni kama mwenzio kafiwa wewe unapiga muziki... Tafadhali issue yako iweke on hold kwanza tuongelee suala la Gongo la mboto.
Leta tatizo lako JF baada ya maombolezo...Yaani watu tunatafakari mustakabali wa mabomu yanayoua raia wema wewe unatuletea mambo ya ngono na ufuska.... unadhani waliofiwa na ndugu zao watakuelewaje ... Si ni kama mwenzio kafiwa wewe unapiga muziki... Tafadhali issue yako iweke on hold kwanza tuongelee suala la Gongo la mboto.
Yaan michelle mie nashangaa comment za watu wengine yeye mwenyewe hapa aliweka hadi rangi hakujua kama mungu yupo na labda kampangia mweusi? Tena nilicoment kabla sijasoma post yake nisingemwambia jamaa amtafute. ama kweli nyani haoni kund...e
Mtumwa wa ukweli, katika swala zima la mwanamke wa kuoa, umeweka kigezo no 1. kama elimu, unahasara katika ndoa yako, either kama huko serious, ndoa haina chuo, ndoa haina mwalimu, ndoa haina mkufunzi bali ndoa njema utaipata kama utapata mwanamke anayemcha Mungu tu basi, kuna faida gani kupata mwanamke form six, then ukimuuliza kitu anakushikia kiuno? Tafuta anayemuogopa Mungu kwanza, vigezo vingine vyote vinapatikana tu, weupo huo unanunuliwa dukani lakini si hekima, utu, na maarifa.
:coffee::coffee::coffee:Mtumwa wa ukweli, katika swala zima la mwanamke wa kuoa, umeweka kigezo no 1. kama elimu, unahasara katika ndoa yako, either kama huko serious, ndoa haina chuo, ndoa haina mwalimu, ndoa haina mkufunzi bali ndoa njema utaipata kama utapata mwanamke anayemcha Mungu tu basi, kuna faida gani kupata mwanamke form six, then ukimuuliza kitu anakushikia kiuno? Tafuta anayemuogopa Mungu kwanza, vigezo vingine vyote vinapatikana tu, weupo huo unanunuliwa dukani lakini si hekima, utu, na maarifa.
Napokupendea Michellle wangu....ni kama hapa!mmmhhhh Susy,mbona we kwako uliweka kigezo cha weupe hukujua unaweza nunuliwa dukani?wewe vigezo uliweka iweje mwenzio asiweke?
Mungu ni mwaminifu,yeye ni baba yetu anasema huwezi omba hiki akakupa kile,anajua matamanio ya mioyo yetu na nani yu sahihi kwetu,daima hawezi kupa mwanamke ambaye huvutiwi nae na kaka yangu endelea kuwa na vigezo vyako,usichukue mwanamke mradi mwanamke,tafuta yule roho inaridhia,la muhimu mtangulize Mungu na uwe na subira,kama Mungu akileta wa tofauti,utakuwa unavutiwa nae na vigezo vyake utavikubali,lakini kamwe usioe mwanamke asiye meet expectation zako,utaumia!!!
Nakutakia kila la kheri......
NB: ingependeza ungeweka nawe vigezo vyako wajue.
Ebo!Duh!
watu kwa ulalamishi bana! na mie nimecoment the way alivyocoment kwenye post yangu!!
:coffee::coffee::coffee:
Napokupendea Michellle wangu....ni kama hapa!
Ebo!